Alhamisi, 16 Machi 2017





Habari mpenzi msomaji,
Karibu  kwenye blog hii ya Kilimanjaro Yetu,ambayo pamoja na mambo mengine itakuwa inakuhabarisha kuhusu habari na matukio mbalimbali katika nyanja za uchumi,biashara,kilimo na siasa,kutoka mikoa ya Kilimanjaro,Arusha na Manyara.